Thursday, March 19

Lovely Vallencia

Lovely Vallencia Kusekwa (mwaka 1). Huyu mtoto anaonekana yuko soo loving ndio maana alizaliwa siku ya Valentine, nadhani hata jina lake, Valencia ni la kike la Valentine maana yeye ni Valentine Baby. Mama yake, Lulu Kilonzo, inabidi atupe siri ya hilo jina.

No comments: