Tuesday, March 31

Happy Birthday Frida Fred

Leo mdau Frida Fred anatimiza miaka miwili kamili.
Wadau woote tunamtakia birthday njema na maisha marefu yenye hari na fanaka teleee!
Mama yake, Lilian Itemba anasema "Namshukuru Mungu kwa kumfikisha hapo alipo, kwani naamini Mungu ndiye akuzaye. Nammiss kwani nipo mbali saaaana naye -shule."

1 comment:

Anonymous said...

Thanksssss!
Kwa niaba ya Frida