Tuesday, March 31

Samahani Wadau

Jamani wadau wooote mliotuma mails na comments, sorry sikuweza kuziaccess, nilikua naumwa mafua na kikohozi (kwangu ni ugonjwa mkubwa wa kutosha kunilaza) tangu Ijumaa, so leo ndio nimeibuka, nashkuru Xchyler hajaambbukizika. Nashkuru Mungu sasa ni mzima wa afya na tunaweza tukaendelea.
Asanteni woote kwa ushirikiano.

1 comment:

Anonymous said...

Pole kwa kuumwa, natumaini unaendelea vizuri ss.
mama Frida