Wednesday, March 11

Maulid Baby

Emiliana Abel akimwangalia mwanae huku aamini macho yake baada ya kujifungua usiku wa kuamkia siku ya Maulid katika hospitali ya Temeke.
Watoto 18 wamezaliwa jana hospitalini hapo, wakati 25 walizaliwa hospitali ya Amana.
Mungu awabariki maisha marefu, yenye afya na mafanikio. (Picha na Fadhili Akida)

No comments: