Wednesday, March 11

Maulid Njema -Belated

Haya ni mambo ya jana, sheik wa baadae akijiandaa kwenda msikitini.
*****
Wadau samahanini kwa salamu zilizochelewa ila ni kutokana na matatizo ya mtandao juzi ofisini kwetu, na jana sikutoka kabisa ndani kwangu kutokana na mvua, na ukizingatia hamna hata mdau mmoja aliyenialika kwenye mapilau na biriani, nikaona afadhali nitulie ndani.
Ila nadhani wadau woote mlikua na Maulid iliyopendeza.

No comments: