Wednesday, March 11

Mmm,Aurelia Kafanana na Baba Yake

Jamani, kiukwali nilishapata na kutoa picha ya wawili hawa, lakini sikuona mfanano huu hadi nilipopata picha hii juzi kati. Huyu mtoto kafanana na baba yake si utani, hapa wabongo hatuna chetu, labda rangi tu!

No comments: