Tuesday, March 10

Big Happy Family!

Hii familia ina mapacha pea mbili, hao wachanga (Imani na Bahati) ambao wamechikwa na binamu yao, Monalisa na mama yake Monalisa ameshika mapacha wake, Stephano na Eva. Wa pembeni kushoto, mwenye sweater la mistari ya green na black ni dadayao Christina na anayefuata ni Faraja (kaka wa hao mapacha wachanga).

1 comment:

Anonymous said...

mmependeza mungu awakuzie.