Monday, March 9

Wanawake wa TSN Tumetoa Msaada Siku ya Wanawake

Msanifu kurasa wa gazeti la HabariLeo Anna Laizar aliyembeba Said Omary-5 (kushoto) na Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN, Christina Geleja aliyembeba Nasra Habibu wakiwa Pugu Kajiungeni Dar es Salaam na watoto hao yatima waliofiwa na wazazi wao.

Wakizungumza na mmoja wa walezi wa mtoto yatima Christina Richard.


Baadhi ya wanawake wafanyakazi wa TSN wakiwa Pugu Kajiungeni kwaajili ya kutoa msaada wa vyakula kwa watoto yatima ikiwa ni maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani. Hapa msaada ndio kwanza umefika, watoto wanasubiri vitu vifunguliwe tu.


At last, vitu vilifunguliwa na watoto wakapata nafasi ya kukata kiu na juice baada ya kukabidhiwa zawadi.

No comments: