Monday, March 9

JK na Kitukuu wa Mpigania Uhuru

JK akiwa amembeba mtoto Ramadhani Juma, ambaye ni kitukuu cha muasisi wa chama cha TANU na CCM, Omar Selemani, alipokwenda kumjulia hali muasisi huyo nyumbani kwake Dodoma jana.
Mtoto amekula pozi utadhani anajua kababwa na raisi. (Picha na Fred Maro wa Ikulu)

1 comment:

Anonymous said...

Mtoto anaonekana atakuwa mjanja sana,ana macho yalochangamka sana

kako serious...hahahahaha down to business ukizingatia nimebebwa na rais ...i might be the next KIKWETE...tehetehete,nyie watoto wanawaza sana na wanasema mioyoni mwao sema hatujajaaliwa hiyo Karesma ya kujua