Monday, March 9

Mama JK Anaelekeza Jinsi ya Kunyonyesha Vizuri

Mama wa Kwanza akimjulia hali Jacquline Manyemba na kichanga chake, Claudia, alipotembelea hospitali ya Tosamaganga wiki iliyopita alipokuwa ziarani Iringa. Off course hakwenda mikono mitupu, Mama alitoa msaada wa vitanda sita maalum vya wagonjwa hospitalini hapo.

No comments: