Monday, March 9

Huku Moshi Jamani, Hawa Wenzetu Biashara Huwa Wanaanza Mapema!

Watoto hawa walibamba na Father Kidevu, alipoenda kwenye Kili Marathoni, wanaelekea kufanya biashara ya matunda sokoni. Hivi wadau hii ni ajira kwa watoto?(Picha na Mroki Mroki)

No comments: