Friday, April 10

Brian & Glory

Brian (miaka minne na nusu) akiwa na mdogo wake Catherine Glory, ambaye ni ingizo jipya kwenye familia. Cathy alizaliwa tarehe 4, Feb 2009.

5 comments:

Anonymous said...

Cathy kazaliwa 4 Feb 2004? Sielewi kabisaaaaaaa! Je Brian alizaliwa lini?

Anonymous said...

mh jamani Mama X una maneno, 'ingizo jipya!'

Anonymous said...

ila mtoto apunguziwe msosi au lishe lasivyo atapata matege

Anonymous said...

Hii topic yafaa sana kwa Blog yako bibie hebu irushe hapa tusikie kina mama wanasemaje. http://bongopicha.blogspot.com/2008/04/kwa-kina-baba-tuuuu.html

Anonymous said...

hongera neema mkony kwa watoto wako wazuri sana na huyu wa sasa naona amekwenda Tanga zaidi maana kama mwarabu kule kwa wakwe zako