Thursday, November 5

Andre & Ben

Andre Mwanambuu akiwa na baba yake Banjamin Mwanambuu, home kwao Kino.
Wamatoka bomba sana, maana baba anaonekana anamu-admire mwanae.

5 comments:

Anonymous said...

hongera benja!

Anonymous said...

Sana yaani mpaka raha hongera hilda umekuza mtoto

Anonymous said...

yaani safi sana mmependeza kwakweli, raha tupu

Anonymous said...

wow! such a cute baby, just like her mother,
hongera sana dada Hilda.

Bwiru menber,

Anonymous said...

Hongereni Dad&Mom Andre-Clarence...mtoto mzuri sana huyu jamani...Kila la kheri katika kumlea...mko juu sana!! mama Rispa