Monday, November 23

Children's Day: Xchyler akiyarudi magoma

Makofi ni sehemu ya mikogo yake...

Yuko serious kwenye kucheza, hataki utani....

Weeeweeeee, utamtaka!

Hapa sio kwamba anatambaa, ila alikua anacheza mpaka chini!

Ila mwisho aliishia kulala mikononi mwa bibi, maana si kucheza tu, X alifanya fujo sana, alikua anazurura na kukimbia ukumbi mzima, nilikua na kazi kubwa ya kukimbizana nae, kiasi kwamba hata mimi usiku nililala hoi!

6 comments:

Smiles said...

Hahahahaa Xchyler bana...yaani mikwara yooote hiyo! Hapo I cant imagine aliwamwagiaje wenzie vinywaji vyao...maana pamoja na utundu-dogo ni mgomvi mno..!! Na hiyo cheza yake...am sure at the end walimwachia ukumbi mzima peke yake!!

Anonymous said...

Hey hongera jiang mkaka anawakilisha he has grown into a big boy now.Mungu aendelee kuwakuzia

Anonymous said...

Kwa kweli watoto wameshangweka.
Haya baby X umeshaongeza afya kubwa sana katika mwili kwa hilo zoezi.
-Hongera nyote mliyehudhuria, watoto wanahitaji kufurahi.

disminder.

Anonymous said...

Hi jiang mambo vipi me ni mama wa mdau kutoka Moshi Anaitwa aziz, yaani picha za x zimeniacha hoi haswa hiyo ya mpaka chini, ama kweli kuwa na mtoto ni raha. Safi sana

Anonymous said...

Xchyler kapendeza na Bibi hake
Wasalimie sana.
From jakii Sweden

Anonymous said...

nimeipenda sana jeans ya X, kapendeza sana..ndo zawadi toka masomoni nini!