Tuesday, November 3

Hongera baba!

Collin Francis Yohana wa Arusha akiwa katika pozi la suti na baba yake na mama yake. Hapo alikuwa kamsindikiza baba yake kwenye graduation yake ya kuhitimu stashahada ya Information Technology.
Familia imependeza sana, kuanzia baba, mama hadi mtoto.

2 comments:

tumaini said...

nasikia collin ana mdogo wake mbona simuoni kwenye picha?

Anonymous said...

ndio collin anamdogo wake anae itwa colman, yeye ni mdogo siku hiyo kulikuwa na hali mbaya ya hewa alibaki nyumbani na dada yake.colman yupo mtafute tu hata b'day yake ipo itafute.
thanks for your comment!