Showing posts with label We are Family. Show all posts
Showing posts with label We are Family. Show all posts

Wednesday, February 29

X ingizo jipya!

New family member anaitwa Xyleen Lerato Mapunda...hii ni few minutes after birth!
During my time out nimeleta kitu kipya! Huyu ni mdogo wake Xchyler, anaitwa Xyleen (tamka Shyleen) kifupi ni Xy (Shy). So unaweza kuniita 'Mama X squared'.

Kaka mtu, aka Biggie aka X anampendaaaaaa balaaa...! I know for sure anampenda kuliko mtu yeyote!


X alikuwepo tangu mwanzo, alikua anamsubiri kwa hamu huyo mtoto...


Safari yake ilianzia wakati uleeeee nikiwa SA, so ndio maana tukampa jina la kati  la Lerato lenye sili ya ki-Tswana lenye maana ya pendo.
...Pozi la tumbo....



Bize hadi siku ya mwisho...
 Hii ilikua kama siku tatu before kumpokea mgeni huyo...nilienda kazini hadi Ijumaa, Jumamosi mchana nikaenda hospitali, nikajifungua usiku wa kuamkia Jumatatu.





Binti shashiriki matukio mengi ya kifamilia, ikiwamo hii graduu ya dady...
 Kuna walionitumia msg kuuliza kama huyo hapo ni X, yes, ni yeye akiwa na memba mpya wa familia, wakimpa tafu dady kwenye mahafali. (Huyo ni classmate wa dady, Hoyce Temu).




anapenda sana kucheka.

Leo anatimiza miezi sita ya kuzaliwa, so alizaliwa August 29, 2011. Ana kajino kamoja, hiyo picha ya kajino bado sijaipata, maana ni la chini, so kulipata kwenye pozi si kazi ndogo! Katika miezi sita hii kuna mengi ya kusema juu yake, ila mtamjua tu taratibuuu...


...na hapa kwenye bembea yake humtoi!

Of all the things anapenda kula, anything, ila haswa nyonyo!!!
hapa na dady home...

Nashkuru Mungu nimepata shost wa ukweliiii...swali ni nimejizaa au sijajizaa???

Mdau na wewe una update? Iwe la mdau huyo huyo wa zamani tunayemjua au una ingizo jipya we tuma kwenye mamanamwana@gmail.com, maana nimewamisi wadau wangu balaaa!

Wednesday, November 3

Andre is a big booooy!

Mdau Andre Mwanambuu  kakuaaaa...anawapa hi!

...hapa yuko na baba na mama...

Tuesday, September 14

Beautiful Bella


Mdau Bella kakua...ana miezi minne now...

...hapa kama anaimba 'Mkono mmoja weka juu' beautiful...
...yuko na mama na baba, Dr Georgina & Dr Moses Ringo...this is one of my favourate families!

Tuesday, November 3

Hongera baba!

Collin Francis Yohana wa Arusha akiwa katika pozi la suti na baba yake na mama yake. Hapo alikuwa kamsindikiza baba yake kwenye graduation yake ya kuhitimu stashahada ya Information Technology.
Familia imependeza sana, kuanzia baba, mama hadi mtoto.

Tuesday, February 3

Perfect Family- Baba, Mama, Watoto.

Cassius Paul (baba), Maggy(mama), Catherine(2yrs) and James (12yrs) wanatuonyesha mfano mzuuuri wa familia inayopendeza. They are all sooo beautiful.

Sunday, January 25

Familia Bora

Beautiful Bridgitte akiwa na mama na baba yake. Wote wanasema wanampenda sana. Jamani mtoto kafanana na nani? Mi naona kama kachanganyia...