Tuesday, February 3

Perfect Family- Baba, Mama, Watoto.

Cassius Paul (baba), Maggy(mama), Catherine(2yrs) and James (12yrs) wanatuonyesha mfano mzuuuri wa familia inayopendeza. They are all sooo beautiful.

3 comments:

Anonymous said...

yeah, its a nice family. ingawa sijui kama ni sawa kukaa miaka kumi baada ya mtoto wa kwanza.

Anonymous said...

yeah, its a nice family. ingawa sijui kama ni sawa kukaa miaka kumi baada ya mtoto wa kwanza.

Anonymous said...

du nimeshangaa kidogo,maana naona kama hizi couple still wako so young by facial appearence ila wana mtoto wa 12yrs!aloo kijana wao ataoa sasa hivi wao wakiwa ndio kwanza kumekucha!hongereni kwa kuwahi kuzaa,hua natamani pia kama ningezaa at the age of 19-20,by the time nina 28yrs nakuwa nimeshamaliza shughuli ya kuzaa,lakini mmh nina 30yrs na mtoto wa 2.3years,jamani,ila namshukuru Mungu pia kwa hilo na yote.Hongereni sana,Mungu azidi kuwapa afya njema.
Sory au alikuwa mtoto wa kujifunzia kabla ya ndoaa!joke,tehetehee!