Wednesday, February 4

Furaha ya Mtoto

Margareth akimwangalia mwanae Brian Msongo huku akitabasam kwa furaha toka kwenye sakafu ya moyo wake, hamna raha kama kupata mtoto.

1 comment:

Anonymous said...

kumbe huyo ndo mke wa basil msongo mbona hujatualika harusi basil jamani, tulisoma wote Dodoma kweli unampenda huyo dada hadi amekuja kuwa mama mtoto wako, hongera sana.