Wednesday, February 4

Happy Birthday Josh

Joshua Absalom anatimiza miaka miwili leo. huyu ni mmoja wa wadau wa mwanzo kabisa, Xchyler pamoja na wadau wengine wooote wa Mama na Mwana tunamtakia maisha mema.

1 comment:

Anonymous said...

inabidi mama yake ajitahidi mtoto aongezeke uzito huyo.