Naitwa Feven Mushi, natokea kijitonyama Dar. Napenda kucheza " Stand Up and sit down" na kuangalia cartoon and my favorites are "In the Night garden, 3rd and Bird, Boogie Bibbies, Me Too and Tractor Tom.
Hoping wadau wenzangu they do enjoy them as I do.
*****
She is sooooooooooo cuuuuuuuuuuuuute!
*****
She is sooooooooooo cuuuuuuuuuuuuute!
6 comments:
OO my God what a cute babt, naomba kumjua baba yake na mama yake jamani, they must be so proud of their product
very cute.
disminder
Jiang naomba ujitahidi huyu Feven awe close na X wako.
@Annony wa kwanza, kwa kweli, hta mimi naomba kkumjua baba na mama.
@ annony wa mwisho...ntafanya hivyo, maana hata mimi namkubali alivyo mzuri, afu tunakaa k'nyama wote, so haitakuwa tabu kumtafuta...ha h ahhahaaa.
Mmmh nimesave picha yake kwny cm yangu mtoto mzuri jamani mi niko pregnancy sa hv natamani baby girl naamini Mungu atanipa!
jamani fevenito,namkubali kwakila kitu anapenda cartoon kuliko chakula.
aunt mage
Post a Comment