Monday, November 30

Khloe kamtembelea baba ofisini

Cuuuuute....
Mdau Khloe Mfumu wiki iliyopita alimtembelea bab'ke Innocent Mfumu ofisini, jengo la TSN, Samora Avenue.

Hapa na mama Rosemary Mallya.

Khloe na aunt Caroline Uliwa, wa Project Fame. Kama wake vileee.

Khloe na mama , pia kushoto ni aunt Upendo Hartsuiker na kulia ni aunt Caroline Uliwa.

4 comments:

Anonymous said...

baba yake mwarabu?

Jiang said...

sio mwarabu,jamani mdau usije leta balaaa, ni mswahili kabisa, hizo nywele za kitoto na Khloe ana nywele nyingi, ila watoto walivyo nazo zinaweza kuanza kunyonyoka muda si mrefu.

Anonymous said...

mmmm hiyo balaa kweli.

Najua Khloe alienda oficn kwa baba kutuma emails kwa rafiki zake angels kuwapa habari za duniani.
Nimesoma kasema eti anawapenda sana baba, mama na wadau woooote wa mama na mwana.

hahahahaha hongera baba na mama Khloe

disminder

Anonymous said...

kuuliza muhimu maana baba na mama waswahili pure lakini mtoto nywele za kiarabu na naelewa nywele za kitoto zinavyokuwa na hizo si za kitoto jamani