Tuesday, December 8

Hongera Frida & Erica kwa Kipaimara


Frida Sendoro na Erica Sendoro wamepata kipaimara jumapili iliyopita (juzi) katika kanisa la Kilutheri la Msasani.
Wadau hawa wote wana miaka 11 na ni binamu (cousins) as ni ndugu kwa baba mkubwa na baba mdogo.
Mama na Mwana inawapongeza kwa hatua hiyo kubwa kwenye maisha ya kiroho ya dini yao, Mungu awabariki kwenye kila jambo.

2 comments:

Anonymous said...

Wabarikiwe sana. na wamependeza sana jamani.

disminder

Anonymous said...

How did i miss this. You both look beautiful. Blessings in your new spiritual journey. xxx