Tuesday, December 8

Karibu Chas

Huyu ni baby Charles au Chas. Kazaliwa tarehe 8 Novemba 09 Muhimbili hospital, hivyo basi leo, anatimiza mwezi mmoja kamili.
Tunamkaribisha mdau mpya, m-cuuuuute Chas, ajumuike nasi.

1 comment:

Anonymous said...

SO cute boy......