Tuesday, December 8

...zamu ya mama, Esther, kumlisha mdau keki...

Besdei bila zawadi jamani???
Mama mwenyewe anajua alichotoa...
Hongera mdau kwa kutimiza miaka minne (4), wadau woooote wa Mama na Mwana tunakutakia Mungu akujalie uje kupuliza mshumaa uliochorwa 100...

No comments: