Tuesday, December 8

Happy Birthday Junior Ally

Hivi karibuni mdau Junior ally alitimiza miaka minna(4). Ametutumia picha za sherehe yake tuone alivyoshereheka.
Hapa mam'tu Esther Omary (a.k.a mwa-jay) akiwasha mshumaa, tayari kwa kupulizwa.

Mdau akifanya juhudi kuuzima...

Kata keki tuleeee....

Wanalishanaaa...

Mdau akimlisha mama...

No comments: