Wednesday, December 9

Happy Uhuru Day, from Denmark

Mapacha David na Noah Manata wa Denmark wamerudi....
Wanawatakia wadau wooote happy Uhuru Day, huku wemeshika bandera za nchi za mama (Den) na baba (Tz), pia wanasheherekea kutimiza miezi tisa.
Wanasema: "thanks for the nice comments they receive."

4 comments:

Anonymous said...

Safi sana mmependeza sana, kweli nyinyi ni pacha.
kila la heri katika maisha yenu.

Anonymous said...

they are so cutie!!

Anonymous said...

they are so cutie!!

Anonymous said...

They are so cutie!! wamependeza sana nimewapenda. Ni kweli mtoto matunzo.