Thursday, December 10

Karibu Ethan


Huyu anaitwa Ethan Silas Mwak, ana miezi saba (amezaliwa 21/5/09).
Ni cousin aka binamu wa Vicent & Vallencia Kusekwa.
Wazazi wake (Baba) Silas Mwaka na (Mama) Upendo Msanjila Mwaka wanampenda sana.
Naye aunt yake aliyenitumia picha, Lulu Kilonzo ana
mtakia afya njema na maisha marefu.

No comments: