Wednesday, December 30

Kelvin Pongo kakuaaa


Baada ya kupotea muda mreeefu, mdau Kelvin Pongo karudi tena, mi niliomba picha mpya tumuone alivyuokua baada ya kutumiwa picha ya zamani kwenye salamu za krismas.

Mam'tu Thecla Thimothy anasema: 'mdau amepunga kidogo alikuwa na malaria na homa kali sana akapewa dawa ikamdhuru, nikipata jina lake kesho nitaweka ili kina mama wawe na taadhali juu ya hiyo dawa.'

Wadau wa Mama na Mwana tulim-miss sana, na tunashukuru kuwa amepona salama, ila kupungua hajapungua kwa kweli(shavu liko palepale), na urefu ndio anazidi kupanda juu, uhandsome, mi sisemi, semeni nyie.

Thanx Thecla...

1 comment:

Mama Kelvin said...

Asante mama X kwakumjali mdau Kelvin, Mr and Mrs Pongo inawatakia Christmass njema walezi na wazazi wote, Mungu atusaidie tuwalee watoto katika misingi mizuri.

Mama Kelvin