Monday, December 28

Salam za Xmas toka kwa Kristina, Eva na StefanoWadau Kristina, Eva, Stefano wanawatakia wadau woote wa Mama na Mwana xmas njema na kheri ya mwaka mpya.
Hawa ni binamu wa Faraja, Christian na Audrey.

6 comments:

Anonymous said...

MUNGU AMEUMBA JAMANI.
KILA KHERI WATOTO WOOOTE, WAZAZI NA WADAU WOOOTE.


disminder

Anonymous said...

wow!!!!! looking gud. watoto wamependeza mno zaidi ya sana. Hongereni wazazi. Mzee na tai,safi sana

Anonymous said...

mmh!! mi sisemi jinc mlivyopendeza

Anonymous said...

So nice

Anonymous said...

Safi sana watoto mnogile

Anonymous said...

Kazi ipo kaka umetoka bomba ile mbaya