Saturday, December 12

Mchum, mchum, mchum....mwhaaaah!

Xchyler anachum sana siku hizi, ukimwekea shavu tu anakupa, mmmmmmwah!
Hapa anamchum binamu yake, Magdalena, tulimwambia 'Xchyler chum toto', nae akamchum, na anavyopenda watoto...alikua anaona raha tukimwambia amchum mtoto.

No comments: