Monday, January 25

Bye bye baby

Hili ni pozi la Xchyler akiwa haamini kwamba tunamuacha kwa bibi tunaondoka, ankomtu, Alipo, anataka amnyanyue mkono aseme bye, mdau akagoma, yani hapa kilichofuata kilikua kilio.
Hodi hodi mdau Sophy, maana kuanzia leo, ntakua mji mkuu, Idyodyoma!

3 comments:

Lulu said...

Haaa haaaa X amepatikana leo. Mdomo kauvuta huo naamini aliangua kilio baada ya hapo. Utakuwa Dom for how long?

Anonymous said...

anaonekana mtu mzima.umemharibu mtoto sura baba jiang.

Jiang said...

amepatikana haswa, na anavyojifanyaga mjanja! narudi jumatano ya wiki ijayo!