Tuesday, January 5

Dorcas & Desire wanawapa hi

cuuuuuuuue!


Hawa ni wadau wapya, Desire na Dorcas. Huyo mkubwa ndiyo Desire na huyo mdogo ndiyo Dorcas aka cha utundu.
Hapa walikuwa Morogoro kwa bibi zao.
Karibuni wadau, ila mi naomba kuona utundu wa Dorcas...

No comments: