Tuesday, January 5

Chris katika pozi la kufungua mwaka!

Mdau wa siku nyingi, handsome boy, Chriss anawatakia watoto wenzake na wazazi wote wenye mapenzi kwa watoto heri ya mwaka mpya 2010.
Pia anawasalimu awasalimia aunt zake Nkweto na Beatrice na kuwakumbusha kuwa mwaka huu ameanza darasa la tatu.

1 comment:

Anonymous said...

Your blog keeps getting better and better! Your older articles are not as good as newer ones you have a lot more creativity and originality now keep it up!