Wednesday, January 6

Happy birthday Brian

Leo ni birthday ya mdau Brian Msongo ambapo neya anatimiza mwaka mmoja.
Keki itakatwa mji mkuu, Dodoma, najua wadau kibao wa jirani wataudhuria.

Hongera nyingi ziwaendee ba'mtu, ambaye pia ni office-mate wangu, Basil Msongo kwa kukuza, ila zaidi na zaidi kwa ma'tu Margareth wa kule Dodoma kwa kumjali mdau kila siku.

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Brian maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

*Tunasubiri picha za kukata keki*

No comments: