Wednesday, January 6

Kheri ya mwaka mpya toka kwa RyanHandsome boy Ryan Robert anawasalimu watoto wote na kuwatakia mwaka mpya mwema.
Mi nampongeza ma'mtu Lulu Mussa kwa kukuza kijana, maana ana afya na amepandeza ingawa yuko simple tu.

4 comments:

Anonymous said...

oh boy....nimempenda kweli huyu mtoto! What a lovely smile he has! Very cute and adorable!!! Anamika mingapi?

linda biteya said...

huyu mtoto mbona kafanana na gadner g habash jamani mzee wa jahazi kesi iyo.

Anonymous said...

we ushindwe hapo juu, huyu ni mtoto wa dada yangu tena kafunga ndoa kanisani wala hajaiba wa m2 wala kumwendea mwanaume kwa mganga ili aolewea.
unamjua baba yake hd unasema hv? huo ni uchonganishi, haachwi m2 hapa.

Anonymous said...

samahani jamani, kuingilia mada, haijalishi ndoa ya kanisani, bomani, wala msikitini, hapa tunauliza kutaka kujuwa tu!
HUYU MTOTO MBONA KAFANANA NA GARDINER HABASH??? JAMANI, HIVI KAMUONA?