Wednesday, January 20

Happy belated birthday Jessalyn

Mdau Jessalyn Margaret alisherehekea siku yake ya kuzaliwa tarehe 30th Dec, 2009, alipotimiza mwaka mmoja!
Nimeopenda hiyo tam-tam, maana kwa macho tu inaonekana ni tam kweli kweli!
Juu ya yote ni mdau mwanyewe alivyotoka bomba na hilo gauni lake...si utani ametokea cuuuuuuuuuuuute!

Jessalyn akimlisha kaka yake Jestus hiyo tam-tam.

Sasa zamu ya rafiki yake Louse...

Jessalyn akimlisha mama yake Alice keki.
Jessalyn anasema baba yake peter hakuwepo yuko kwa babu anasema mpe hi sana babu na bibi waambie nimekuwa na umri wa mwaka sasa!

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Jessalyn maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: