Wednesday, January 20

Uwera alikua Kigali likizo hii

Likizo hii mdau Uwera Getrude alikwenda Kigali, Rwanda kwa baba.
Hapa alikuwa lake Kivu -Gesenyi na Gorilla mountain.
Kwa kweli anasema vacation ilikuwa nzuri. Anasema watoto wote happy new year.Mi ni pozi zake tu nnazozizimia...nilitaka kusahau unywele( Mungu akinijaalia mtoto wa kike awe na unywele), huyu ana kipaji cha umodo cha kuzaliwa!

No comments: