Tuesday, January 19

Happy birthday Violin

Leo tunasherehekea kutimiza miaka mitatu (3) kwa mcuuuuuuuuuuuuute Violin.

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Violin maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

*Tunasubiri picha za kukata keki*

3 comments:

Anonymous said...

to be honest that kid is super wao u just feel like u can eat her mzima mzima mhhhhhh her mum must be very proud of her

Anonymous said...

to be honest that kid is super wao u just feel like u can eat her mzima mzima mhhhhhh her mum must be very proud of her

Anonymous said...

happy birthday hacitu,mie twime