Thursday, January 21

Happy Birthday Catherine

Leo ni birthday ya mdau Catherine Cassius, ambapo anatimiza miaka mitatu.

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Cassius maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

Baba na mama Cathy (Mr & Mrs Cassius) tunaomba picha mpya, maana nilinayo hapa hata siwezi kuiweka, maana ni ya zamani, birthday ya mwaka janaaaaaaa!

No comments: