Friday, January 15

Maakuli time

Mdau Kawthar akiwa busy anapata madhiwa ikiwa ni maandalizi ya kuendelea na purukushani za maisha ya kila siku!

1 comment:

Anonymous said...

huo ndiyo wakati wa kujidai.
Mungu awajalie mkue na mpate maisha bora watoto wetu wapenzi.

disminder