Monday, January 18

Imar na Junior wakila raha...

Wadau Imar na kaka mtu Junior wakijirusha week end.
Miriam, mi nimependa na nna uhakika kuna wengine pia wamependa, ila hujasema ni kiwanja gani ili wadau waliokaribu nao wakafaidi, au mambo ya home?

2 comments:

Anonymous said...

bila shaka hapo ni mary brown, masaki

Anonymous said...

Hello Jiang,
kwa faida ya wadau, kiwanja walichokwenda kujirusha Imar
na Junior, kinaitwa Marybrown kipo Masaki.
Regards, mariam