Monday, January 18


Mdau akilishwa keki na bibi aliyeandaa sherehe hiyo, Bibi Ineza (jina la kati la Harieth ni la bibi), mi naona hata sura wanafanana, ingawa bibi hajatokea sana...

Akilishwa keki na dada wa nyumbani, Maria...

hapa analishwa na anko, Mwami Ditopile...

Regina, mama mzaa chema akitabasamu...hongera kwa kukuza...

...mwaka mmoja kamili, pamoja na utundu mwiiiingi wa mdau, kali kuliko yote analijua neno 'Najuta" ila yeye anasema 'TA' akiikaza kwa nguvu!
...pia kutokana ka utundu wake hamna picha ya birthday girl akilisha mtu keki, kila akipewa kipande amlishe mtu, alidumbukiza mdomoni kwake, watu wakaona itaisha bure, wakaamua kumlisha afu kila mtu ajilishe mwenyewe!
...by the way, Kigoma bila mighebuka???

2 comments:

Anonymous said...

Hongera Bibi umezaa na hongera Regina kwa kukuza.

disminder

Anonymous said...

ha haaa haaa eti NAJUTA jamani kama nikaskie vile kakitamka hilo neno...so cute.happy birthday.