Napenda kutumia nafasi hii kuwashukuru wooote mlionitumia salamu za kunitakia siku njema ya kuzaliwa, ambayo ilikua alhamis iliyopita, tarehe 18.
Bahati mbaya sana, nilipata mafua makali sana tangu jumatano mchana, kwa hiyo hiyo siku ya kuzaliwa nilikua hoi, kitu pekee nilichofanya ni kwenda kudeka kwa mama. Actual, ndio kwanza nimepona kuanzia jana (mafua yangu huwa si mchezo), kwa hiyo sikuweza kuwataarifu, kwa wale ambao hamkuwa na taarifa juu ya siku hiyo, ila halijaharibika neno, Mungu akijaalia, mwaka kesho itakua njema zaidi na tutaungana sote kushsrehekea.
Asanteni mlionitumia pongezi kwenye email; Mama Kelvin, Mama Nathan, Lulu Kilonzo, Ritha (mama Violin), Mama Cleopatra, Priscar Mshama na Mama wa Chriss na Laida.
Nashkuru sana.
P.S. Msingoje picha...maana nilikua hata sipigiki angalau picha moja, macho yamevimba, pua inatiririka kamasi kama bomba bovu-kiufupi nilikua natisha kuanzia jumatano usiku hadi jumamosi! so picha tuhairishe hadi mwaka kesho...lol!
*****

5 comments:
du!!!Getwell soon my dear.
JAMANI POLE SANA MAMY,
HONGERA YA KUZALIWA MZAZIII...na polee kwa kuugua.
Jamani pole sana!! Nakutakia mwaka wenye baraka, afya tele na furaha kibao!!
Pole sana kwa kuugua na Happy Belated Birthday. Tunakuombea Mungu akupe miaka mingi zaidi.
Post a Comment