Friday, February 12

Birthday ya Josh ilikua bomba

Joshua Absalom alitimiza miaka minne (4) alhamis ya tarehe 4 mwezi huu.
Sherehe ilifanyika kwa babu Tabata, jumamosi iliyofata.

Hivi ndio tam-tam ilivyokua...yummy

Josh akijipanga kupuliza mshumaa...1, 2 ,3, whooooo!

Msimshangae huyu pambeni ya Josh, no cousin wake, anaitwa Brianna, naskia yeye alikua anasema keki yake, na zawadi zote zake, basi balaa...

No comments: