Tuesday, February 2

Happy birthday Prince

Leo ni birthday ya mdau Prince, ambapo anatimiza miaka miwili.

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Price maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

*Mama Price, picha tafadhali*

*Sijakosea, leo ni tarehe 2/2 na ni birthday za wadau wawili, halafu wote wanaitwa Prince, coincidence ehe? au ndio mambo ya duniani wawili wawili hadi majina?*

No comments: