Tuesday, February 2

Happy birthday Prince Enock

Leo ni birthday ya mdau Prince Enock Franco, ambapo anatimiza miaka minane (8).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Price Enock maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

*Picha za kukata keki*

No comments: