Wednesday, March 3

B'day party ya David & Noah ilikua bombaaa!

 
Wale mapacha wetu wa Denmark, David & Noah Manata walitimiza mwaka siku ya Ijumaa iliyopita, tarehe 26, na sherehe ya kuwapongeza ilifanyikia home kwao hukohuko Denmark!
Hapa wanashangilia zawadi waliyopata toka kwa bibi  na babu yao.

 
meza kuu ilipambwa hivi, simple ila imetoka bombaaa!

 
Hii ni tamtam ya wakubwa...yes ya wakubwa, mama alitengeneza keki mbili, hii ya wakubwa tu!

 
Ma'mtu alitengeneza tam tam maalum kwa ajili ya b'day boys, wale na kuchezea wenyewe bila bughudha!
What a cute mess!

 
fungueni, tuuuuone...yaliyomooooo... ndani yakeeee!
wakiifungua zawadi ya babu na bibi!

7 comments:

zeyttt said...

JAMANI HAWA WATOTO WAZURIIIIIIII NAWAPENDA SANA JAMANI, I WISH WANGEKUWA WAKWANGU, NAMUOMBA M/MUNGU ANIPATIE WATOTO WAZURI KAMA HAWA. HONGERA MAMA YAO KWA KUPATA WATOTO MAHANDSOME. MWAAAAAAH

elyc said...

cuteeee!!!!!!!!!1

Anonymous said...

sasa hizo bendera za nini?

Jiang said...

mdau hizo bendera nyekundu zenye kama jumlisha nyeupe ni za Denmark, mama wa watoto ni mdenmark, and of course hiyo nyingie ni ya bongoland kwa baba yao ambaye ndio anatutumia picha za hao wadau!

Anonymous said...

jiang, narudia tena sasa hizo bendera hapo kwenye birthday party za nini?

Jiang said...

sorry mdau nilikua sijaelewa swali, kwa kweli sina uhakika na role yake hapo, labda ni kuonyesha utaifa wa hao wadau, lakini sioni tatizo zikiwepo hapo jamani, hata kama ni urembo tu kupendezesha!

Anonymous said...

Hi jian

Naomba ni mjibu huyu mdau ni kwamba huku Denmark watu wakiwa na
birthday party uwa wanaweka bendera za nchi yao sasa hawa watoto wangu ni 50/50 na ndiyo mimi
nikaona nayetu pia iweko.