Friday, March 5

Happy birthday Prince

Leo mdau Prince Tutuba Bhikolimana anatimiza miaka miwili (2).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tumtakia Prince maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 

2 comments:

Anonymous said...

Pole dada na hongera kwa kuwa mkweli ili uweze kupata relief, huyo kaka mwenyezi mungu ndiye atakayemuhukumu kwa hayo alokufanyia.

binafsi nakuomba usitoe hiyo mimba itunze hadi dk ya mwisho na mwenyezi mungu atakufungulia milango yote ya heri na baraka utapata kazi na utamlea mtt wako vzr.

wako wadada wengi mpk sasa wanajutia nafsi zao walivyokuwa wanatoa mimba kama pipi ivi sasa wanatafuta watoto wengine wanafikia hatua ya kwenda kuiba ktk mahospitali, ivo muombe mungu akuepushe na hiyo roho ya kukata tamaa.