Monday, April 19

Birthday party ya X...

Kwenye birthday Xchyler alitinga kivazi chake cha Spiderman, kina na mask kabisa! alikipenda kweli kweli!

Ila alitisha wadau kama nini, maana walikua wanmuogopa, hapa Khloe akitoa kilio...afu X tukimwambia vua unawatisha watoto, jibu moja tu 'KAKAKI'.

Mama, baba, X na bibi!

 Wadau wa blog mliwakilishwa na Vicent na Valenzia, hapa Valencia kabebwa!

 Henry akivalishwa kofia...


Andre na dady (juu) na mam (chini)

Harrieth

Dorries aka D akiwa na mama

Brian na mam

Aurelia na mam.

 Khloe akiwa na baba na mama...

X akiwa na birthday mate wake Briton, wote wamezaliwa April 16.
wadau walichangamshwa kwa games mbalimbali...

Josh akiokota vijiti...

 Kwenye bday party pia watoto walipata nafasi ya kukutana na kufahamiana...Thierry akihug na Andre, kama akina mama wamesoma wote, watoto lazima wawe marafiki...

Ila kwa kweli Thierry alizidisha hugs...hapa anampatia mrembo Harrieth, hata sijui alimfurahisha nini!

10 comments:

Anonymous said...

Nice party!!Cute baby!! lovely parents!!Great Grandmother!!Happy people!! mwaaaa

Anonymous said...

hey mama na baba X hongera sana mungu akukuzie!! mmh x amebadilika kawa mkubwa na amependeza sana na kivazi chake cha spider!! asante wadua wote kutuwakilisha!! tunamtakia X maisha mema na mungu ambariki!

mwisho salamau kwa wadu wote na wazazi wenu !!

alice
friend &
mom of Jessalyn & jestus

Upendo kny Samora Jr. said...

Wow, happy birthday Xchyler!! Amependeza na costume yake ya Spiderman!!

Anonymous said...

Birthday ilipendeza please mama X naomba unielekeze Marry Brown ipo masaki sehemu gani nakuomba sana

Anonymous said...

Hongera mama inaonekana mtoto alifurahi sana! Lakini jamani tupunguze kuiga sana hiyo spideman costume huwa inavaliwa "halloween"! Ila ideas kama keki, na sahani balloons na vingine ndo vinatumika...ni kuelimishana tu jamani!
Lizza.

Anonymous said...

Hongereni. Mungu awatangulie katika malezi. Watoto wanaonekana walienjoy sana.Je hii party ilifanyika sehemu gani?

Anonymous said...

Lizza,
sio kuiga bila sababu, nadhani unapotoa ushauri na wewe uwe unasema kitu unachojua for sure, sio kujua nusu.
Ni kweli custumes huwa zinatumika sana kwenye Halloween, lakini pia huwa zinatumika kwenye birthday party kufuatana na theme ya party, kama hapo wazazi wa X waliamua ni Spiderman, ndio maana wamemetisha kuanzia costumes hadi keki.
labda kukusaidia tu, na wadau wengine walioanza kuamini kuwa costumes ni kwa ajili ya halloween tembeleeni baadhi ya websites kama; http://www.kidsbirthdaycostumes.com/costumes.html
na
http://partysupply4kids.com/costumes.html

hao wamesema kabisa ni birthday party costumes, na ya spiderman ipo!

ni hayo, kuelimishana na kuwekana sawa tu!

Anonymous said...

Wabongo bila kukosoa siku haijaisha, ujuaji basi get your fact right! mdau hapo juu nashukuru kwa kumjibu miss kukosoa asante kwa website pia, X your party Rocks!! Mwaa

Anonymous said...

njia ya kuelekea merry brown!
ile barabara ya kuelekea masaki anzia pale St peter church nenda nayo moja kwa moja hadi pale ktk kile kibonde hadi unakaribia shoppers plaza ya masaki utaona bango kubwa la rangi nzuri la merry brown but watu sio wachoyo ukiuliza maeneo hayo kila mtu atakuelekeza ! is a nice place for kids

Othman Michuzi said...

mbona mimi sikualikwa kwenye huu mnuso?????haha ahah ahaha...... ilipendeza sana kwa kweli.happy birthday X