Monday, April 19

Birthday party ya X - tam tam

Sherehe ilikua Jumamosi hiyo iliyopita, Marry Brown ya Masaki.
Hapa ulikua wakati wa tam-tam...yes, Xchyler alivaa nguo ya Spiderman, na keki ilikua ya Spiderman!

 kata keki tule.....

 hii puliza ilifanyiwa mazoezi makali home!

namsaidia kukata!
hapo wadau wanaona nawachelewesha tu...

nikamlisha..

Xchyler mlishe dady, loh, keki akaipeleka mdomoni  kwake, yani zoezi la bday boy kulisha watu keki lilishindikana, maana alikua anajilisha mwenyewe!

...ikabidi nisiwaweke sana wadau, nianze kuwalisha kwa niaba...

baadae sana hata tumeshasahau kama kuna kulishana keki, ndioakakubali kuwalisha hiyo tam tam wenzake... hapa anamlisha Andre, ndio alikua wa kwanza kulishwa!

...mama...

...dady...


...bibi...

...Harrieth...

...Iqrah...

...Angel...

...Thierry...

...Aurelia...

 ...nilisahau, Valencia kaninunia, hapo ametoka kulia, alikua amekasirika mno, mama alimuacha, keki alikataa, kila kitu alinuna, hadi baadaeee, ndi akaanza kusahau habari za mama...

5 comments:

Lulu said...

Hongera Jiang!!! The party was perrrrrrfeeccccccttttt!!!! Watoto walifurahi kwa kweli. Kina Vicent walilala kwenye gari kama 5 minutes baada ya kuondoka sababu ya michezo walikuwa Hoi

Nilifurahi sana kumuona Shamim na Iqra!!!

Anonymous said...

HAPPY BIRTHDAY X, HAPPY BIRTHDAY TO YOU, I LIKE YOUR PARTY WAS GREAT, ESPECIALLY THE THEME SPIDER MAN, YOU ROCK X!!!

Anonymous said...

Wazazi baba na mama hongera kwa kulea mtoto X hadi kufikia miaka 2, bibi hongera zako kwa kua mstari wa mbele wa malezi ya mjukuu X ni mfano mzuri sana kwa wazazi bibi hongera sana kwa mjukuu, kifupi naipenda sana familia yenu mungu awabariki sana awatangulia kwenye ulezi wa kijana X

Anonymous said...

Lakini Jiang nawe ni cute na kiportable kweli yaaani mkono wa baba X wote umezunguka???? lovely lovely!! nimependa sana hiyo picha nawaombea muendeleze hayo mapenzi motomoto mpaka uzeeni, nimeona wivu kabisa

Anonymous said...

Hi Jiang
Hongera sana pia hongera kwa X na kwa babamtu picha safi sana na naona party ilikuwa bomba sana.la mwisho nataka nikujulishe kwamba huku denmark bendera zilikuwa juu kwa sababu birthday ya malkia wa huku yaani tarehe 16.04.10.
Hongera sana.Mdau Wa Dk